mtafuta-maisha
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 1,982
- 2,934
Fanya 130000 uje uchukueLaki moja iko nikusaidie hiyo external.
Fanya 40000 uje uchukue30 nikusaidie hiyo sabufa
Poa mkuuExternal ikiwepo hadi tarehe 30 basi nitafute 0756200086
Mkuu 100 iko mkononi.....nikiji push sana 110.....si unajua usawa wa JPMFanya 130000 uje uchukue
Jvute zaidi mpaka 120,000 kisha panda gari njoo tufanye biasharaMkuu 100 iko mkononi.....nikiji push sana 110.....si unajua usawa wa JPM
Mkuu lete hiyo ela tufanye biasharaMkuu 100 iko mkononi.....nikiji push sana 110.....si unajua usawa wa JPM
Dar tegetaUko mkoa gani mkuu?
Mkuu ni PM namba yako weekend tufanye biashara btn kesho na jpili na nitakuwa na muda wa kuja huko.Mkuu lete hiyo ela tufanye biashara
Nimekucheki hupatikan nimekutumia msg nazo ziko pendingnataka hiyo subwoofer namba yangu 0752474481 nipigie tumalize biashara
Fanya 100,000 cashUkifuta izo vitu kwenye external utaniuzia bei gani? Maana izo vitu zisije zikawa kuna vitu za kesi humo ikaja ikawa shida Format then taja bei