Huyu mhindi mwekundu kutoka misitu ya Amazon kesha jiona naye ni Super star,huyu kijana ana matatizo sana si mnakumbuka hata kwenye kombe la dunia alikuwa anacheka baada ya Gyan kukosa penalti ambayo alishika kwa makusudi goli lisiingie na juzi pia kwaonyesha dole la kati mashabiki wa Fulham,pia ni mdanganyifu sana hupenda kujirusha kwenye eneo la penalti