Hujui kitu usitamke wala kuandika hizi sio siasa, hizo Bullion na nuggets sijawahi kusikia kuwa huwa zinachimbwa tofauti katika Migodi yoyote duniani. Makinikia huwa ndio mabaki ya dhhabu na mchanga tu.Kwa sasa migodi yote ya Barrick /Acacia haizalishi tena makinikia imejikita kwenye uchimbaji wa bullion na nuggets tu ,huku ikiacha maelfu bia ajira na hasara wanayoipata kila siku kuanzia loss,port charges etc
Je wakuu ni nini kinachojiri kwa sasa ,kwa mujibu wa mtandao rasmi wa masuala ya Acacia (Director/PDMR Shareholding) Mara ya mwisho tarehe 19/10/2017 Acacia walitoa waraka wa kutokujua kilichokubalianwa kati ya Serikali ya Tanzania (GoT) na Barrick ikifuatiwa na vikao vya body vilivyo watoa kazini waliokuja kukubaliana malipo ya $ 300mil akiwemo mkuu Prof Brad Gordon pia ilifuatiwa na Mkurugenzi wa fedha wa Acacia kutotambua malipano hayo .
Tafsiri yangu
-Hakuna makubaliano yoyote tuliyofikia nao ya maana wala swala la kulipwa tulisahau
-Tuone namna ya kulegeza masharti biashara iendelee maana wanawezekana ni mbinu ya kuja kutudai mabilion ya dollar tukachanyikiwa
-Serikali itutake radhi wananchi kwa kutojipanga na kukurupuka kumkurupua panya mwizi tukiwa hatujaziba mashimo ya kutokea tukijua anambio kuliko sisi.
Akhsante
Kila kitu kimyaa wameshasahau. Wanashughulikia marudio ya uchaguzi Singida, Songea na Longido.
Subiri hadi January 2018 ambapo Timu mpya ya kifedha itakapoanza kazi rasmiKwa sasa migodi yote ya Barrick /Acacia haizalishi tena makinikia imejikita kwenye uchimbaji wa bullion na nuggets tu ,huku ikiacha maelfu bia ajira na hasara wanayoipata kila siku kuanzia loss,port charges etc
Je wakuu ni nini kinachojiri kwa sasa ,kwa mujibu wa mtandao rasmi wa masuala ya Acacia (Director/PDMR Shareholding) Mara ya mwisho tarehe 19/10/2017 Acacia walitoa waraka wa kutokujua kilichokubalianwa kati ya Serikali ya Tanzania (GoT) na Barrick ikifuatiwa na vikao vya body vilivyo watoa kazini waliokuja kukubaliana malipo ya $ 300mil akiwemo mkuu Prof Brad Gordon pia ilifuatiwa na Mkurugenzi wa fedha wa Acacia kutotambua malipano hayo .
Tafsiri yangu
-Hakuna makubaliano yoyote tuliyofikia nao ya maana wala swala la kulipwa tulisahau
-Tuone namna ya kulegeza masharti biashara iendelee maana wanawezekana ni mbinu ya kuja kutudai mabilion ya dollar tukachanyikiwa
-Serikali itutake radhi wananchi kwa kutojipanga na kukurupuka kumkurupua panya mwizi tukiwa hatujaziba mashimo ya kutokea tukijua anambio kuliko sisi.
Akhsante
Nimesikitika sana kwa kiongozi mkubwa kuwajadili akina giggy money .Vita ya makinika jemedari kabwaga manyanga kwa sasa.
Kahamishia majeshi kwa video queens.
Ana wivu yule. Si bure.Nimesikitika sana kwa kiongozi mkubwa kuwajadili akina giggy money .
Halafu kuwaanzishia hawa watoto vichaa vichaa kuna watu wamezibuka hawajali Magufuli walanani, kuna mtu siku atasema ovyo halafu itakuwa habari ya mtu mzima ovyo.Amehamisha vita kwa Giggy Money.....mengine yote amechemsha!!! Kurupukaa bila busara unaishia aibu!!!! Akimaliza Giggy atakuja machangu wanaosimama barabarani....anasahau uchumi umedorolaaaa unakufaaaaa.....hakuna strategy kunusuru uchumi!!!
Tushalipwa kishika uchumba chetu?Hujui kitu usitamke wala kuandika hizi sio siasa, hizo Bullion na nuggets sijawahi kusikia kuwa huwa zinachimbwa tofauti katika Migodi yoyote duniani. Makinikia huwa ndio mabaki ya dhhabu na mchanga tu.
HahahhaAna wivu yule. Si bure.
Anataka aandikwe yeye tu kuanziakurasa za siasa mpaka burudani.