Suala la makinikia nini kinachojiri?

Kwa sasa migodi yote ya Barrick /Acacia haizalishi tena makinikia imejikita kwenye uchimbaji wa bullion na nuggets tu ,huku ikiacha maelfu bia ajira na hasara wanayoipata kila siku kuanzia loss,port charges etc
Je wakuu ni nini kinachojiri kwa sasa ,kwa mujibu wa mtandao rasmi wa masuala ya Acacia (Director/PDMR Shareholding) Mara ya mwisho tarehe 19/10/2017 Acacia walitoa waraka wa kutokujua kilichokubalianwa kati ya Serikali ya Tanzania (GoT) na Barrick ikifuatiwa na vikao vya body vilivyo watoa kazini waliokuja kukubaliana malipo ya $ 300mil akiwemo mkuu Prof Brad Gordon pia ilifuatiwa na Mkurugenzi wa fedha wa Acacia kutotambua malipano hayo .

Tafsiri yangu

-Hakuna makubaliano yoyote tuliyofikia nao ya maana wala swala la kulipwa tulisahau
-Tuone namna ya kulegeza masharti biashara iendelee maana wanawezekana ni mbinu ya kuja kutudai mabilion ya dollar tukachanyikiwa
-Serikali itutake radhi wananchi kwa kutojipanga na kukurupuka kumkurupua panya mwizi tukiwa hatujaziba mashimo ya kutokea tukijua anambio kuliko sisi.

Akhsante
Hivi umeelewa kilichoandikwa na Acacia Mining...Brad Gordon alijiuzulu na hakuna aliyemtoa??!!
 
Back
Top Bottom