Suala la makinikia nini kinachojiri?

The only

JF-Expert Member
May 19, 2011
5,584
2,000
Kwa sasa migodi yote ya Barrick /Acacia haizalishi tena makinikia imejikita kwenye uchimbaji wa bullion na nuggets tu ,huku ikiacha maelfu bia ajira na hasara wanayoipata kila siku kuanzia loss,port charges etc
Je wakuu ni nini kinachojiri kwa sasa ,kwa mujibu wa mtandao rasmi wa masuala ya Acacia (Director/PDMR Shareholding) Mara ya mwisho tarehe 19/10/2017 Acacia walitoa waraka wa kutokujua kilichokubalianwa kati ya Serikali ya Tanzania (GoT) na Barrick ikifuatiwa na vikao vya body vilivyo watoa kazini waliokuja kukubaliana malipo ya $ 300mil akiwemo mkuu Prof Brad Gordon pia ilifuatiwa na Mkurugenzi wa fedha wa Acacia kutotambua malipano hayo .

Tafsiri yangu

-Hakuna makubaliano yoyote tuliyofikia nao ya maana wala swala la kulipwa tulisahau
-Tuone namna ya kulegeza masharti biashara iendelee maana wanawezekana ni mbinu ya kuja kutudai mabilion ya dollar tukachanyikiwa
-Serikali itutake radhi wananchi kwa kutojipanga na kukurupuka kumkurupua panya mwizi tukiwa hatujaziba mashimo ya kutokea tukijua anambio kuliko sisi.

Akhsante
 
bullion

JF-Expert Member
Aug 23, 2014
310
225
Kwa sasa migodi yote ya Barrick /Acacia haizalishi tena makinikia imejikita kwenye uchimbaji wa bullion na nuggets tu ,huku ikiacha maelfu bia ajira na hasara wanayoipata kila siku kuanzia loss,port charges etc

Mimi sijawahi kuchimbwa. Mkuu bullion haichimbwa inazalishwa kutoka kwenye usindikaji
 
SHIEKA

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,254
2,000
Kila kitu kimyaa wameshasahau. Wanashughulikia marudio ya uchaguzi Singida, Songea na Longido.
 
Bundala Nyawa

Member
Nov 2, 2017
80
125
Kwa sasa migodi yote ya Barrick /Acacia haizalishi tena makinikia imejikita kwenye uchimbaji wa bullion na nuggets tu ,huku ikiacha maelfu bia ajira na hasara wanayoipata kila siku kuanzia loss,port charges etc
Je wakuu ni nini kinachojiri kwa sasa ,kwa mujibu wa mtandao rasmi wa masuala ya Acacia (Director/PDMR Shareholding) Mara ya mwisho tarehe 19/10/2017 Acacia walitoa waraka wa kutokujua kilichokubalianwa kati ya Serikali ya Tanzania (GoT) na Barrick ikifuatiwa na vikao vya body vilivyo watoa kazini waliokuja kukubaliana malipo ya $ 300mil akiwemo mkuu Prof Brad Gordon pia ilifuatiwa na Mkurugenzi wa fedha wa Acacia kutotambua malipano hayo .

Tafsiri yangu

-Hakuna makubaliano yoyote tuliyofikia nao ya maana wala swala la kulipwa tulisahau
-Tuone namna ya kulegeza masharti biashara iendelee maana wanawezekana ni mbinu ya kuja kutudai mabilion ya dollar tukachanyikiwa
-Serikali itutake radhi wananchi kwa kutojipanga na kukurupuka kumkurupua panya mwizi tukiwa hatujaziba mashimo ya kutokea tukijua anambio kuliko sisi.

Akhsante
Hujui kitu usitamke wala kuandika hizi sio siasa, hizo Bullion na nuggets sijawahi kusikia kuwa huwa zinachimbwa tofauti katika Migodi yoyote duniani. Makinikia huwa ndio mabaki ya dhhabu na mchanga tu.
 
Benny Haraba

JF-Expert Member
Dec 7, 2012
6,213

Subiri hadi January 2018 ambapo Timu mpya ya kifedha itakapoanza kazi rasmi
 
Lambardi

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
10,910
2,000
Amehamisha vita kwa Giggy Money.....mengine yote amechemsha!!! Kurupukaa bila busara unaishia aibu!!!! Akimaliza Giggy atakuja machangu wanaosimama barabarani....anasahau uchumi umedorolaaaa unakufaaaaa.....hakuna strategy kunusuru uchumi!!!
 
Al-Watan

JF-Expert Member
Apr 16, 2009
11,921
2,000
Amehamisha vita kwa Giggy Money.....mengine yote amechemsha!!! Kurupukaa bila busara unaishia aibu!!!! Akimaliza Giggy atakuja machangu wanaosimama barabarani....anasahau uchumi umedorolaaaa unakufaaaaa.....hakuna strategy kunusuru uchumi!!!
Halafu kuwaanzishia hawa watoto vichaa vichaa kuna watu wamezibuka hawajali Magufuli walanani, kuna mtu siku atasema ovyo halafu itakuwa habari ya mtu mzima ovyo.
 
Mgibeon

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
8,928
2,000
Hujui kitu usitamke wala kuandika hizi sio siasa, hizo Bullion na nuggets sijawahi kusikia kuwa huwa zinachimbwa tofauti katika Migodi yoyote duniani. Makinikia huwa ndio mabaki ya dhhabu na mchanga tu.
Tushalipwa kishika uchumba chetu?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom