Yohane leonard
Member
- Oct 22, 2016
- 47
- 29
HaahaaahaaIsije kua unalialia kumbe uliichagua ccm. Kama ni mwanachama wa mojawapo wa vyama vya upinzani nitumie kadi yako PM nikutumie hela ya kula wiki hii. Otherwise ask your ccm leaders to jump to nearest hell.
Kwanza ujiandae kuondoka Kama uliingia chuoni kwa njia ya complete metarmophosis si umemsikia Professor Joyce??Wengine hapa walishaanza kuulizia boom la pili lakini kuna watu mpaka leo majina ya kusaini hskuna hasa 1st year Tutakufa na njaa aseeeh mtu unakosa hata 10 mfukoni afu unajiita upo sokoine univerdity....duhh too much sasa
Uongozi hamna had sasa..ivi hicho chuo hakina uongozi au nini maana ni sua tu vyuo vingene tayari walishapata kitambo au ni uongozi haupo makini kufatilia duh poleni sana vijana wetu