Nipo uraiani, kila siku naiota SUA, nakupenda SUA, ipo siku nitakanyaga SUA BVM! Hata kama lecture ni hadi usiku wa manane bado ninatamani kuwa hapo.....!
Kilicho kupeleka sua ni nini?
Jitambue na upambane nihisi ndilo jambo la msingi kwa sasa.
Wakati wa kulalamika umepita , uliopo ni wa kupambana na changamoto zinazo tupata.
Hiyo ndo kazi ilokupeleka SUA au ulitaka kwenda kucheza, mdau University studies ni pamoja na uvumulivu usiifananishe SUA na O Level tena ya day mbona hata Sekondari watu wanapiga kitabu hadi usiku, unashangaa nini saa mbili, acha uzembe chezea Degree wewe!