piusmwacha
Member
- Jun 7, 2018
- 16
- 4
Ioo n self defence shock kwa ajili ya kujilinda has nyakati za usiku.Emu weka kwa lugha ya mtukufu jiwe ili tuelewe
Its not....legally kama ilvo pper spryNi legal kutumika tz?
ilimradi haiui kama panga kisu sime n.k hata ikiwa illegal nikiipata naitumia.Ni legal kutumika tz?
Yaap yaap haiuiiilimradi haiui kama panga kisu sime n.k hata ikiwa illegal nikiipata naitumia.
Ndioo bosshii ndo ile zapper ee naziona kwenye muvi mtu akiteswa
haiui sana ita msapraizi tu mtu kwa kudhani labda ameshika waya ulio chubuka wa umeme baada ha hapo maamuz ya kwanza ni kitoka nduki...Ina nguvu kiasi gani,maana usije mtu ukaua ikawa balaa,au inazimisha mtu???
Kama ni hivi, basi taser ni nzuri zaidiIla kwa kuwekana sawa anayoiongelea hapa mtoa mada ni Taser Torch, na si Stun Gun
Jifunze zaidi kwa picha (lugha ya kingereza)
Kama utahitaji msaada nitaeleza kwa kina. View attachment 869110