Napenda kutembelea wafugaji wa kuku, nguruwe na mbuzi walioko Mwanza , so kama wewe ni mfugaji na unaweza nikaribisha nikutembelee naomba contact zako ili tuwasiliane
Asanteni
Ni mtanzania mwenzio kwa sasa namalizia masomo Uganda na mpago wangu,suo kutafuta kuajiriwa ila kujiajiri na hasa katika hizo fan nilizoelezea hapo juu
Usiwe na hofu na kama shida yako ni security kuwa natafuta ramani ya kuiba hao kuku wako, wazo langu ni kupata fursa kujifunza kutoka lwa watu walio na uzoefu, na kama unaona shida mimi kuja kwako sio mbaya kwani silazimishi kumtembelea mtu I can only do that with your consent and willingness to share you experience with me
Take it or live it
Bado sijaanza maana yaonekana kwa mwanza ni vigumu sana kupata mtu aliyetayari kutembelea mradi wake,na kuona jinsi anavyoendelea na kushea up nd down anazokumbana nazo,
Ila sijakata tamaa najaribu kupanua ziara yangu na kuinclude mikoa ya arusha, dsm and morogoro
Mkuu mm niko moro ila nina mikakati ya kufanya tour kama ww ili nijifunze mengi zaidi,,mkuu mm nilianza kufuga kidogo nikiwa moshi ila kwa sasa nimehamia moro hivyo nataka nianze upya..!