Godfrey Electronics Online Sales
CONTACT: 0689777757, 0756444407
FB: www.facebook.com/godfreyelectronics
E-mail: sales@godfreyelectronics.com
Ni Condenser mic ambayo zinatumia USB na unaweza kuunganisha Direct kwenda kwenye Computer bila kupita kwenye Mixer
Brand Model: Recording Tool MCU-02 Kutoka Ujerumani.
View attachment 144970
Nimeipenda jinsi ilivyo najipanga kuinunua, ila kama una hizi product nijulishe pia pamoja na bei zake,
1.M-Audio DMP3 (2 Channel) Dual Mic Pre and Direct Box
2.M-audio_FastTrack_MKII_main-USB AUDIO INTERFACE
3
. Mackie HR824mk2 Studio Monitor (2010)
4.
Shure SM58 Mic Standard (Dynamic Mic)
Hope utanijibu mkuu.