Peleka povu LDCbefore all naomba msinichukulie vibaya kwamba nakuja kuwapondae wakenya hap a lahasha lengo langu nikuwaelimisha wote wanajukwa kuhusu strangest currency kwanini sometime huwez kuitumia ku determine ukubwa wa uchumi Hili nimeliona kwa wakenya wengi hujidai kuwa shillingi ya kubwa basi na uchumi wao ni mkubwa hilo sio kweli# maana kuna nchi zengine zina pesa dhaifu sana kuzidi shilingi ya Kenya lakini ni nchi tajiri tena third biggest economy in the world mfano mzuri ni Japan hela Yao inaitwa Yen ipo weak na chini ya shilingi ya kenya but kenya with the strong currency is the among of the poorest country in the world along with Burundi
ntaka niwaelimishe wakenya masuala ya uchumi hasa hasa currency economy# maana nimeona wakenya wengi wanabrag kuwa na strongest currency in East AfricaSasa kama hukunuia kuiponda Kenya mbona mada yako umeieka hapa Kenya News? Mbona hujaieka kwenye jukwaa la Habari na hoja mchanganyiko, au hata kwenye jukwaa la Love Connect?
Imekuuma ee? Kwamba waKENYA wana'brag' na KENYA shilling? Ulitaka tu'brag' na Tz mashilingi au? π Nilikwambia una akili maandas ukabisha, sasa ona!ntaka niwaelimishe wakenya masuala ya uchumi hasa hasa currency economy# maana nimeona wakenya wengi wanabrag kuwa na strongest currency in East Africa
kenya is LDC too don't believe your cooked Gdp am economist I know all shit economic theory done by World Bank and IMF# Leo ni hayo tu tukutane mwakani # bye byePeleka povu LDC
Lazima waje Kenya, maanake kwenye zile shule zao, wanaziitaga English medium. Huwa wanafunzwa kwamba, yule mnyama mwenye shingo ndeeefu, anayekula majani yaliyo juu kabisa kwenye miti mirefu, kwa lugha ya kiingereza huwa anaitwa rat! Hehehe! πππsasa tangu lini mtanzania akamuelimisha mKenya? watanzania wenyewe wamevamia shule za Kenya kutafuta elimu.
maoni yako jiekee
Povu kuubwaa hahahaSasa kama hukunuia kuiponda Kenya mbona mada yako umeieka hapa Kenya News? Mbona hujaieka kwenye jukwaa la Habari na hoja mchanganyiko, au hata kwenye jukwaa la mahusiano na mapenzi?
Yani, Wakenya wanamwaga povu wasipoangalia watatereza na kuanguka kwenye povu lao wenyewe. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Povu kuubwaa hahaha
Haha mashambulio yamezidi ukaamua kutoroka. Haha. Hio topic ni darasa la kwanza. Leta topic inginekenya is LDC too don't believe your cooked Gdp am economist I know all shit economic theory done by World Bank and IMF# Leo ni hayo tu tukutane mwakani # bye bye
Ishia! Hehehe π
Tuteleze tuanguke tulilambe ilo ilo povu [emoji23] [emoji28]Yani, Wakenya wanamwaga povu wasipoangalia watatereza na kuanguka kwenye povu lao wenyewe. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Povu kuubwaa hahaha
Povu gani bana. Kenya bado tunatumiaga coins jombaa. Kwenu andazi moja shilingi mia, soda kwa mkate elfu na upuuzi juu yake! Wanaume wenye midevu mnatembea na magazeti kwenye wallet! Hivi karibuni ndo mtaanza kuyapakia kwenye magunia! πYani, Wakenya wanamwaga povu wasipoangalia watatereza na kuanguka kwenye povu lao wenyewe. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unakosa kuelewa dhana zima ya pesa, pesa ni symbol representing particular value. Ukitumia coin au ya karatasi haibadilishi maana ya pesa. Kuna nchi zina uchumi mkubwa kuliko wa Kenya, wameacha hata kushika pesa mkonini, wanatumia digital wallet, ie China, India and some European countries.Povu gani bana. Kenya bado tunatumiaga coins jombaa. Kwenu andazi moja shilingi mia, soda kwa mkate elfu na upuuzi juu yake! Wanaume wenye midevu mnatembea na magazeti kwenye wallet! Hivi karibuni ndo mtaanza kuyapakia kwenye magunia! π
Kwa hivyo dhamani ya shilingi ya Kenya ni bure tu? Unadhani hata tukiingia kwenye 'digital currency' ndo hamna 'exchange rates'? Kuna vitu vingine si vya kubisha bana! Za madafu zitabaki kuwa za madafu tu, koma kujiliwaza bure.Unakosa kuelewa dhana zima ya pesa, pesa ni symbol representing particular value. Ukitumia coin au ya karatasi haibadilishi maana ya pesa. Kuna nchi zina uchumi mkubwa kuliko wa Kenya, wameacha hata kushika pesa mkonini, wanatumia digital wallet, ie China, India and some European countries.