Halaf usikute huyo mtu ni mbabu na mamvi yakeNashangaa sijui hajawahi kuuona uzi wa likes?
Hapo hapana kuna salam za kupiga lock na kunyima baadhi ya vitu
Hapo hapana kuna salam za kupiga lock na kunyima baadhi ya vitu
Shikamoo shemeji yake KKYaani acha tu
Halaf usikute huyo mtu ni mbabu na mamvi yakebasi tu avatar fake zinaficha mengi
Niitie shemeji yako carba jamaan
Pole sana we dogo lala ukue huko.Yaani acha tu
Kweli Mwifwa ujue.
We acha tu
Shikamoo peaneni na carba naogopa kunyimwa baadhi ya vitukwahiyo hutaki shikamoo
Mm sasa nitakupa niniiiii kwa mfano we endelea na carba tuShikamoo peaneni na carba naogopa kunyimwa baadhi ya vitu
WooowYaan sijui ndio wametekwa woiii
NaogopaaaLove u
Marhaba mama leeShikamoo shemeji yake KK