Hujafuatilia Soga yetu eehHivi ni nini lakinii
SijamboHujambo Sakayo
HapanaHujafuatikia Soga yetu eeh
Hapana
Naona umehama kijiwe kamandaMahaba
Habari za j4?
Uji wa leo umejitahidi hadi nimeshangaa hivi ni we kweli
Ndio nimeamka unavyodekeza si poa kabisa
Bora um cc KK kwakweli maana hali mbaya
Kwel aisee ila mimi naona kuna sababu kubwa imekuleta huku
Kubadili mazingira sio vibaya
Nipooooo majukumu tu mwifwa yaanPoa tu Shunie umeadimika sana
Kho kho kho cuzoo malizia basi avatar ya nani etiiiKumbe upoo
Mambo
Nipo mamy.
Shwariii naona umeweka avatar ya
Ebu tusimulie kidogo uliachika eenh kwahiyo shemela kakusameheni stori ndeeeefuuu acha tu
Niambie bhanaaaa
Mahaba yamezidieee
hivi mliacha kupika maandazi we na shunie?
Mwifwa ebu tulipe jamaanNaona biashara yetu ilikufa tulikula mtaji
Una utani na Shunie
tulipe bhana
Achana na mapishi ya google dogoUji wa leo umejitahidi hadi nimeshangaa hivi ni we kweli
Napunguza doziNdio nimeamka unavyodekeza si poa kabisa