Asante Sana mama MchungajiZaburi 126
5 Wapandao kwa machozi Watavuna kwa kelele za furaha.
6 Ingawa mtu anakwenda zake akilia, Azichukuapo mbegu za kupanda. Hakika atarudi kwa kelele za furaha, Aichukuapo miganda yake.
Tuwe na usiku mwema na tulindwe na damu ya Yesu
Amen
Barikiwa sana cuzooAsante Sana mama Mchungaji
Shunie unalala.Zaburi 126
5 Wapandao kwa machozi Watavuna kwa kelele za furaha.
6 Ingawa mtu anakwenda zake akilia, Azichukuapo mbegu za kupanda. Hakika atarudi kwa kelele za furaha, Aichukuapo miganda yake.
Tuwe na usiku mwema na tulindwe na damu ya Yesu
Amen
Kibamia bana ili watu wawe wanarudisha umri nyumaWa Hogo au Kibamia
Kote hayupo,sijui kawa dereva wa nissanAtakuwa kule nyumbani kwake
Hebu toa maelezo kidogo.Yaaniiiiii
Hapana cuzoo alitaka niweke salaShunie unalala.
Halafu wale waliokuwa wanasema vile hata kuonekana hawaonekani,sijui wanajifunza gizanHaaaaaa ipo humu tulikuwa tunawapigia kelele
AmenZaburi 126
5 Wapandao kwa machozi Watavuna kwa kelele za furaha.
6 Ingawa mtu anakwenda zake akilia, Azichukuapo mbegu za kupanda. Hakika atarudi kwa kelele za furaha, Aichukuapo miganda yake.
Tuwe na usiku mwema na tulindwe na damu ya Yesu
Amen
Halafu wale waliokuwa wanasema vile hata kuonekana hawaonekani,sijui wanajifunza gizan
Wote wamefeli mitihaniAhaaa, basi tutarajie wahitimu wengi
Hivi una ninii MwifwaKibamia bana ili watu wawe wanarudisha umri nyuma
Amen-amenHapana cuzoo alitaka niweke sala