Ni kweli mambo ya vilimo na hizi mvuaTupo mamy jaman labda tunapishana tu
Kweli kabisa vilimo vimepamba motoNi kweli mambo ya vilimo na hizi mvuandio wakati wake
MmmhhhHamna naona sikuhizi majukumu yamezidi na Tanesco wanafanya yao sana
Bila shaka na jina lako litakuwa na maana fulanikwanini umejiita LINAMO
muulize Madame BBila shaka na jina lako litakuwa na maana fulani
Ebu funguka
Wewe ukisema ndio itapendeza zaidi...muulize Madame B
Jina lake linasadifu ndio madame b mbona alishazungumzia kuhusu ze duduBila shaka na jina lako litakuwa na maana fulani
Ebu funguka
muulize Madame B
Kheee ikawaje sasaAliifungia kabisa
He he vya mazao jaman ulifikili vilimo vipi tenaCuzoo mnazungumzia vilimo vipi
Kama nakuona na kitorchNikawa natumia S. L. P