Jifunze tu hadi uweze, unajaribu kwanza unaweka viwili vikikuzingua unavitoa unaangalia video unajaribu tena, hadi uweze. Utube ni mkombozi kwakweli.Hahaaa. Mie bado sipapatii picha pale ila nahitaji siku moja nijifunze pia kwa kweli
MamboCarba
Sawa dada itabidi nifanye hivyo kwa sababu huwa natamani kweli.Jifunze tu hadi uweze, unajaribu kwanza unaweka viwili vikikuzingua unavitoa unaangalia video unajaribu tena, hadi uweze. Utube ni mkombozi kwakweli.
Kapumzika kama mke ameshapata jf afanye nini
Pumzika mshkaji wangu unafanya nini tena jamankwahiyo na Mimi nipumzike au ?
Ndio maana nakuwa mvivu Sana kuingia humuPumzika mshkaji wangu unafanya nini tena jaman
AhahahaaaaaaMi na wewe hatushindwani.
Kama nakuona..Jichekesheni tu, ila kapu la mama mjue ndio mshalila hivyo. Siku ya siku nakuja mkavuuuuuu, na simu yangu tu mkononi.
Yaaani nimekileta jana tuKimeliwa na panya jaman sakayo aliniambia
Amani tuu mkwe...Alafu mkwe hiyo avatar inafanya nikupotee! Ndio uzalendo?
Mdogo wangu..Niko salama kabisa dada namshukuru M'mungu niko poa kabisa.
Na Kwako pia mpenziNalala waungwana muwe na usiku mwema Mwenyezi Mungu awasimamie mlale salama wote.
Nisamehe jamani
Hao panywaaa! Una kiwanda cha panya ndani kwako?Ewaaa
Sawa mdogo wangu.Nalala waungwana muwe na usiku mwema Mwenyezi Mungu awasimamie mlale salama wote.