Strategy ya Corona ya Rais Samia ni ipi?


Beberu wa vita vya uchumi anasema well said.

Usikatishwe moyo na mamburula ambao kwetu ndiyo wanaojidhani matenki ya mafikara. Wewe umefanya sehemu yako.

Hawa huwa tunawakumbusha safari za kwenda Uhuru zinapowiva. Hawajapata kujifunza na hawawezi kujifunza.

Wapo kama makenge tu. Kusikia kwao hadi damu masikioni.
 
Bank ya dunia imesema haitatoa mkopo mpaka takwimu na Tahadhari nyingine za covid zitakapochukuliwa sasa naona Samia anaanza kutoa maelekezo.

Mdogo mdogo Samia ataelewa tu maanayake viongozi wengine wa Africa lazima washikiwe Fimbo.

Sent from my SM-A505FN using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…