Sisi yetu ni kusema "tutamkumbuka"huu ugonjwa hadi sasa haueleweki hata hizo Pfizer na modema wamesema zinaaribu figo na mapafu . kwa hiyo ni kizungumkuti
Yani hawa jamaa wanaboa sana. Sisi hatuna Corona, lakini wao wameng'ang'ana kila siku Corona, Corona, sijui wanaombea na sisi tupate Corona?! Mambo mengine yanatia mpaka kichefuchefu, usipokuwa na kiasi unaweza kujikuta umemtukana mtu.Mbna mmeng'ang'ana na Korona Sana aisee, kila sku Korona Korona , e bhana eeh hatuna Korona Sisi , na hatuna hela ya kununua chanjo full stop ...!! Misaada tunachukua kama kawa
Wewe umeenea nchi nzima kujua hatuna Uviko 19?Yani hawa jamaa wanaboa sana. Sisi hatuna Corona, lakini wao wameng'ang'ana kila siku Corona, Corona, sijui wanaombea na sisi tupate Corona?! Mambo mengine yanatia mpaka kichefuchefu, usipokuwa na kiasi unaweza kujikuta umemtukana mtu.
Jifungie ndani kama unaona Tanzania kuna corona .Wewe umeenea nchi nzima kujua hatuna Uviko 19?
Data za leo hizi. Chanjo ni salama kabisa π€huu ugonjwa hadi sasa haueleweki hata hizo Pfizer na modema wamesema zinaaribu figo na mapafu . kwa hiyo ni kizungumkuti
Kama mnaitaka mwende muifuate huko iliko, siyo mnatulete upuuzi wa kulilia Corona kila sikuWewe umeenea nchi nzima kujua hatuna Uviko 19?
Sisi yetu ni kusema "tutamkumbuka"