Lupamba's grandson
JF-Expert Member
- Jan 9, 2015
- 1,230
- 1,199
Air force inahusianaje na hili nawakati imetokea suddenly na watu wame notice icho kitu kikiwa kwenye mawingu kwa dk kama 15 kikapoteaWaongo hao...kama ni kweli...Zambia Air Force could have scrumbled their " Mig" to deal with it! Zambia Air force are serious.
==========
Update:1. Hakuna chanzo cha habari kinachoitwa Zambia Watch.!
2. By inspecting the element code of the image presented...it is highly likely the image has been doctored!
Kazi yenu ni kuita kila mtu muongo kisa habari haijapitia kwako.Waongo hao...kama ni kweli...Zambia Air Force could have scrumbled their " Mig" to deal with it! Zambia Air force are serious.
==========
Update:1. Hakuna chanzo cha habari kinachoitwa Zambia Watch.!
2. By inspecting the element code of the image presented...it is highly likely the image has been doctored!
Usiniambie nawe kabisa unaamini uzushi huu!! Katka dunia ya technology kama hii kwa dk 15 nzima kungekuwa na clip za video kibao tu na kama hujui kitwe ni mji mkubwa tu usokosa kuwa na maripota wa vyombo vya habari kibao tu na ingesharushwa hewani... Hyo mtu mtundu mtundu tu kakaa na simu yake kaamua kutoka kiivyo...Kazi yenu ni kuita kila mtu muongo kisa habari haijapitia kwako.
Haya sasa zimeshuka tena ...siyo dakika 30 !! Ni dakika 15!Air force inahusianaje na hili nawakati imetokea suddenly na watu wame notice icho kitu kikiwa kwenye mawingu kwa dk kama 15 kikapotea
STRANGE IMAGES APPEAR IN THE SKY IN KITWE
There was drama today in Kitwe at mukuba mall when a strange image that look like a human appeared in the clouds.
According to eye witnesses say the strange image that looked like a human was in the sky for over 30 minutes while looking down at the mall.
This forced people who were shopping scampering in different directions thinking that God had finally come.
“we were shocked to see images that looked like a human in the clouds for close to 30 minutes, others started worshiping but others ran away. It was so strange” said an eye witness.
Zambian Watch is still investigating what the image that appeared in the clouds in form of a human being means.
Facts...ni muhimu kama umedhamilia kuleta habari ya ukweli.Kazi yenu ni kuita kila mtu muongo kisa habari haijapitia kwako.
Unaambiwa walitoka nduki kama msafara wa mwengeDk kumi na tano Hamna hata clip
Inategemea na angle of pose ya mpiga picha.Image 1 and 2 not similar unless it moved
Hahahahahh lipi ilo mkuuMwaka huu tuta shuhudia mengi. Lile parapanda la izrael la mwaka jana lilifanya wengi waokoke