Straika Mpya Simba na Msuli "Mzizi"

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267


Msuli wa mshambuliaji mpya wa Simba, Elius Maguri umekuwa gumzo.
Katika mazoezi ya Simba, mashabiki wa kikosi hicho wamekuwa wakijadili kuhusiana na miguu yake kuwa na misuli mingi inayoashiria nguvu.
[h=4]Mashabiki hao kwenye mazoezi ya Simba huko Boko jijini Dar, wamekuwa wakijadili kuhusiana na Maguri ambaye amejiunga na Simba akitokea Ruvu Shooting.[/h][h=4]Wengi wamekuwa wakijiuliza atakavyopambana katika ushindani huo wa namba dhidi ya Amissi Tambwe na Modo Kiongera kama Simba itafanikiwa kumpata[/h]
cHANZO: Salehjembe.blogspot.com/2014/08/msuli-wa-maguri-gumzo-mazoezini-simba.html
 
Anaweza kutatua tatizo la kukosa weight lifter wazuri mashindano yajayo ya olimpics
 
Jamaa mweupe challenge mwaka Jana alikuwa anakata nyonga tu....
 
Katika mazoezi ya Simba, mashabiki wa kikosi hicho wamekuwa wakijadili kuhusiana na miguu yake kuwa na misuli mingi inayoashiria nguvu.

Mashabiki wa Simba vilaza sana...sasa hiyo inayoonekana kwa wingi ni misuli au mishipa ya damu???
 
Yaani umeanzisha mada tujadili mishipa ya damu ya mtu....????
 
Mashabiki wa Simba vilaza sana...sasa hiyo inayoonekana kwa wingi ni misuli au mishipa ya damu???

mtamjua tu kama ana mishipa au misuli, tukutane hapahapa kilingeni.........tutajua ujinga na upumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…