Najua kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake..wah wa tra emu angalienm hili gari linawaaibisha..watwamechoka..wanakamatwa watu awana stika za rd lsc waanaishia kuombwa 30-50 alfu kutegemeana na ulitakiwa kulipwa ngapi...jamani wajinga wale wanavaa tai wachafu lakini majuzi nilimkuta mmoja pale changombe anahesabu maelfu ya alfukumi kumi
hivi mnasema pesa amna hata a kutengeneza barabara za babu jamani watu wamekondeana wanajaza maelfu kwenye hili gari
kamshna wa tra mtusaidie jamani huu upuzi ufe..mnapoteza sh ngapi