STJ 4486 ya TRA inaongoza kuomba rushwa TAZARA na Chang'ombe traffic | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

STJ 4486 ya TRA inaongoza kuomba rushwa TAZARA na Chang'ombe traffic

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Mar 29, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,376
  Likes Received: 5,663
  Trophy Points: 280
  Najua kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake..wah wa tra emu angalienm hili gari linawaaibisha..watwamechoka..wanakamatwa watu awana stika za rd lsc waanaishia kuombwa 30-50 alfu kutegemeana na ulitakiwa kulipwa ngapi...jamani wajinga wale wanavaa tai wachafu lakini majuzi nilimkuta mmoja pale changombe anahesabu maelfu ya alfukumi kumi

  hivi mnasema pesa amna hata a kutengeneza barabara za babu jamani watu wamekondeana wanajaza maelfu kwenye hili gari

  kamshna wa tra mtusaidie jamani huu upuzi ufe..mnapoteza sh ngapi
   
 2. Kichwa cha panz

  Kichwa cha panz Senior Member

  #2
  Mar 29, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 132
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mkuu ungejitahidi kuandika katika mtiririko wenye kuleta maana, inavoelekea ujumbe ni mzuri lakini uwasilishwaji kidogo haujatulia
   
 3. nyaunyau

  nyaunyau Senior Member

  #3
  Mar 30, 2011
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 122
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  pdidy unataarifa nzuri lakini uandishi wa taarifa zako ni ziro ebu tulia acha papara kama unafukuzwa.
   
Loading...