Angalia Tena replay youtube kisha urudi tena kukomenti kuhusu uhalali wa penati ya Morison,
kuhusu unayosema ya Azam nadhani Ile ni clear dive hata picha za marejeo zinaonesha ilo, pia hata kama utamuhukumu Mwamnyeto bado haiwezi kuwa penati Kwa maana tukio ni nje box mchezaji kaenda kuangukia ndan ya box. kosa pekee ambalo ni la mshika kibendera ni kuruhusu krosi ya Lomalisa Kwa mpira ulikuwa ushatoka nje..
Ila pia nadhani kipindi cha kwanza tu Kiungo mkabaji wa Azam Sospeter Bajana alistahili red kadi ambayo ingewapa faida Yanga kuwabutua Azam mapema kabisa na haya malalamiko yasingekuwepo