Steve Nyerere ana nguvu kuliko Polepole, Steve Nyerere ndio Mwenyekiti wa kundi la wapiga pesa la wazalendo kwanza, na hawa ndio wanategemewa na chama 2020 kuiombea ccm kura kwenye tabaka la watu wajinga hasa wa Instagram, Bongo movie na tasnia nzima ya wasanii.Katika hali isiyo ya kawaida jana Katibu uenezi alitoa ujumbe instagram akibeza Wema Sepetu kurudi CCM Kwakuandika haya!!
Baada ya kubeza nakuona urudiji wa Wema hauna tija katika chama na kuwahasa kwa kusema meanachama ni yule mvumiivu na siyo yule malaya wa siasa!!
Baada ya hayo
Aliyepambana kumrudisha wema Steve Nyerere povu likamtoka!
Swali Steve Nyerere ana nguvu gani au ninani yupo nyuma yake hadi anathubutu kumsema Katibu Mwenezi au ni.......
hahahaha tumbaaafuuSteve na Polepole wanachofanana tu ni kwamba ni ngumu kuwakadilia umri wao, huwezi kujuwa wapo kundi ka vijana au ni wazee, pili wanafanana katika unafki, hapo hakuna anayemzidi mwenzake, tatu Steve ni mtoto wa Kinondoni, wakati Polepole ni mashamba tu kama yule mshamba mwenzake.
"Ni mshamba kama yule mshamba" mwingine nimekusoma mkuuSteve Nyerere ana nguvu kuliko Polepole, Steve Nyerere ndio Mwenyekiti wa kundi la wapiga pesa la wazalendo kwanza, na hawa ndio wanategemewa na chama 2020 kuiombea ccm kura kwenye tabaka la watu wajinga hasa wa Instagram, Bongo movie na tasnia nzima ya wasanii.
Steve Nyerere anaingia kwa Mama Samia Suluhu kama kwa mama yake.
Steve na Polepole wanachofanana tu ni kwamba ni ngumu kuwakadilia umri wao, huwezi kujuwa wapo kundi ka vijana au ni wazee, pili wanafanana katika unafki, hapo hakuna anayemzidi mwenzake, tatu Steve ni mtoto wa Kinondoni, wakati Polepole ni mashamba tu kama yule mshamba mwenzake.
Huyu jamaa naye anasema au anatania???? Muulizeni iwapo mkewe angeacha ndoa yake kutokana na kutofautiana mitazamo naye akaenda kuishi kwa mwanamume mwingine na huko akatoa nydodo nyingi dhidi yake Halafu baada ya muda kupita akataka kurudi, Jee angempokea kama kawaida????? SIASA SIYO BONGO MUVI??????Katika hali isiyo ya kawaida jana Katibu uenezi alitoa ujumbe instagram akibeza Wema Sepetu kurudi CCM Kwakuandika haya!!
Baada ya kubeza nakuona urudiji wa Wema hauna tija katika chama na kuwahasa kwa kusema meanachama ni yule mvumiivu na siyo yule malaya wa siasa!!
Baada ya hayo
Aliyepambana kumrudisha wema Steve Nyerere povu likamtoka!
Swali Steve Nyerere ana nguvu gani au ninani yupo nyuma yake hadi anathubutu kumsema Katibu Mwenezi au ni.......
Humphrey is the spokesman for the Party
Unfortunately Steve Nyerere on this matter your an intruder
Judging by your age i think it's high time you grow up
Huyu jamaa naye anasema au anatania???? Muulizeni iwapo mkewe angeacha ndoa yake kutokana na kutofautiana mitazamo naye akaenda kuishi kwa mwanamume mwingine na huko akatoa nydodo nyingi dhidi yake Halafu baada ya muda kupita akataka kurudi, Jee angempokea kama kawaida????? SIASA SIYO BONGO MUVI??????
Nimecheka sanaaaaSteve Nyerere ana nguvu kuliko Polepole, Steve Nyerere ndio Mwenyekiti wa kundi la wapiga pesa la wazalendo kwanza, na hawa ndio wanategemewa na chama 2020 kuiombea ccm kura kwenye tabaka la watu wajinga hasa wa Instagram, Bongo movie na tasnia nzima ya wasanii.
Steve Nyerere anaingia kwa Mama Samia Suluhu kama kwa mama yake.
Steve na Polepole wanachofanana tu ni kwamba ni ngumu kuwakadilia umri wao, huwezi kujuwa wapo kundi ka vijana au ni wazee, pili wanafanana katika unafki, hapo hakuna anayemzidi mwenzake, tatu Steve ni mtoto wa Kinondoni, wakati Polepole ni mashamba tu kama yule mshamba mwenzake.
Katika hali isiyo ya kawaida jana Katibu uenezi alitoa ujumbe instagram akibeza Wema Sepetu kurudi CCM Kwakuandika haya!!