Steve Job Last Words

Yeye alikuwa bize kugundua vitu na kulimbikiza mali wenzake tupo bize kufyatuana na kufyatua watoto maisha matamu kabisa mpaka makonda anaingilia mahusiano yetu
Yeye alikuwa na watoto wanne, wewe umefyatua wangapi hadi sasa?
 
BIBLIA haitaki watu wawe masikini. Ibrahim alikuwa tajiri, Noah alikuwa tajiri, Daudi alikuwa tajiri, Suleiman alikuwa tajiri, Elisha alikuwa tajiri sasa hao wa Congo umasikini walikuwa wanarithi kwani Nani?
 

Hii ime editiwa sana tu , hayo ya Mwisho umeongeza mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…