Ray waniache
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 737
- 507
kweli vyuma vimekazaAisee kweli hali tete..
wanapambana na hali yao ya kukosa watejaStartimes ambao ni watoaji wa huduma za visimbusi kupitia masafa ya sattellite na terrestrial hatimaye wamekuja na kifurushi cha siku,wiki na mwezi
Sent using Jamii Forums mobile app
Startimes ambao ni watoaji wa huduma za visimbusi kupitia masafa ya sattellite na terrestrial hatimaye wamekuja na kifurushi cha siku,wiki na mwezi
Sasa kifurushi cha buku kwa siku ukipiga buku mwezi mzima si inafika hadi elfu 30 jamani na kifurushi cha mwezi ni shilling elfu kumi na mbili
Sent using Jamii Forums mobile app