Startimes decoder for tsh 50, 000/=

Ayusema

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2011
Posts
549
Reaction score
189
Startimes decoder for tsh 50, 000/= check me on 0715 70 50 50 window for negotiation is open.
 
Star times wanakera kuliko maelezo... mi mwenye natafuta wa kumtwisha mzigo! Ebwana, atakayenunua mwambie atumike kuwatangazia wengine kuwa ipo nyingine kwa tsh 40,000 tuu!

Startimes hakuna kitu pale, michaneli ya ajabu hafu inastuck after every single minute!
 
mimi nitakuuzia kwa less than that, au hicho kinakamata hadi china kwenyewe?
 

hili tatizo la ku-stuck ndilo linanikera sana, huwezi angalia vipindi vya startimes confortable

DSTV wakiweka local chanels watapiga bao sana,

DSTV services are great
 
hili tatizo la ku-stuck ndilo linanikera sana, huwezi angalia vipindi vya startimes confortable

DSTV wakiweka local chanels watapiga bao sana,

DSTV services are great

lkn ghali kwa washabiki wa mpira,
 
Kingámuzi cha starttimes hakifai kabisa! Tafadhali muonee huruma unayetaka kumuuzia!
 
Mimi kwa kweli hata kuisikia hiyo Startimes sitaki maana kwa kweli huduma zao haziridhishi kabisa,
just imagine mtu unalipia kama kawaida halafu unakatiwa huduma bila sababu yo yote na ukipiga simu kuwauliza unapata jibu( ready made response) kuwa wahudumu wetu wanahudumia wateja wengine na hii ni zaidi ya mara tatu katika interval ya one hour.
 
kitu EASY TV bana...local channels zote,kenya,uganda,bbc,cnn,aljazeera,movies,sports nk
 
hili tatizo la ku-stuck ndilo linanikera sana, huwezi angalia vipindi vya startimes confortable

DSTV wakiweka local chanels watapiga bao sana,

DSTV services are great

Ile inaitwa Ning vp wakuu nayo ina stuck?
 
subscription ni 9,000 kwa mwezi
manunuzi including outdoor antenna na installation kama sijasahau ni 120,000/=

Kwa Dar ofisi zao zipo pande zipi nikakamate na mimi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…