Leo imeishinda timu ya Taifa ya Kenya kwa goli moja kwa bila.Goli la ushindi limefungwa na beki Aggrey Morris dakika ya 7 ya mchezo. Hatahivyo,Stars na Harambee Stars walicheza chini ya kiwango.

lakini harambee ndo walicheza chini ya kiwango kuliko stars, ukizingatia kuwa wanajidai na kocha wao mpya mfaransa toka nchi ya kimpira na sisi mdenish wetu toka nchi ya midebwedo.