Bhbm
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 714
- 210
Wakuu habari za majukumu. Nauza gari Toyota Starlet, iko kwenye hali nzuri sana, kwa maana kwamba haijatumika tangu iagizwe toka Japan. Imetembea 124,881 km, engine capacity ni 1330 cc. ina seats 5 na milango 4. Ina rangi ya Dark-blue. Bei inaanzia 7.5m. Kama unahitaji please ni Pm au nitafute kwa no. 0716-888288. Picha nimeambatanisha hapo chini.