Starlet..Inauzwa


guys mi stil nahitaji mteja ......so fanyeni ivyo tuone instead ov kubishana . asanteni.
 

Punguza tope kichwan bro!
Hiv unalewa mtu akisema "gar ya ndoto yangu au nyumba ya ndoto yangu"

Ww unaongelea economy ya mafuta kwa kumilik kitu cha ndoto yako??

Mm mwenyewe namilik gar ila gar ninayomilik sio gar ya ndoto yangu..

Ss huyo bwana amekwambia gar ya ndoto yake ni starlet, upo hapo??
Milik starlet wakat unafanya michakato ya kufikia ndoto zako sio umilik starlet ndio useme gar ya ndoto yako..

Waza vizur bro!
 

ila kumbuka kila mtu ana ndoto yake, ndoto yako isiwe universal
 
Nauza gari yangu wadau. ni starlet, rangi ni silver na ipo fresh in kila kitu na katika hali nzuri sana.
Kwa mawasiliano zaidi
#Call 0756 517 588. kwa walio serious tuu.
 

Attachments

  • 1397811119411.jpg
    105.3 KB · Views: 338
  • 1397811158471.jpg
    112 KB · Views: 269
  • 1397811216034.jpg
    89.3 KB · Views: 264
  • 1397811255612.jpg
    91.8 KB · Views: 239
  • 1397811297392.jpg
    103.2 KB · Views: 250

Asante Kiongozi kwa kunijibia huyu kilaza wa mawazo.
 
Sijataka ndoto yangu iwe universal, ila kwa mwanaume mtafutaji awaze starlet ndio gar ya ndoto yake naweza kumtia kidole cha t*k*o

Wewe ni KE au MME? Kama ni KE basi ni hali yako kubishana.
 
Inauwezo wa kubeba mbwa wangapi kwa mpigo.., nafuga mbwa wengi sana..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…