mkuu ukweli ni kwamba niliahirisha kuiuza kwani watu hawakufika bei niliyokua nimepanga na nilipata pesa za kutolea gari yangu iliyokuja mwaka jana.nilitumia gari mpya hii ikiwa imepark na sasa nimefanikiwa kuuza gari na kuagiza nyingine ambayo iko karibuni kufika ndo maana nimeiweka starlwt sokoni