Mwenyekutumia star times ya dish anipe elimu kidogo hapa:
King'amuzi wanauza bei gani ikiwa "complete" yaani decoder, dish na vifaa vyake vingine bila ufundi? Na zipo local channels ngapi na ni zipi? Na je! kifurushi kikiisha wanakata na local channels zote?