star times decoder for sale

star times decoder for sale

wamatinga

Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
99
Reaction score
15
Greetings!

Nauza set nzima ya star times decoder, aerial na cable yake ya 20m. Price 80,000. Haina matatizo yeyote. Nipo Dar es salaam. Asante.
 
hata mie nauza changu, ila cable yangu m 25.

Mkuu na ww picha zinaganda, na kupotea kama kwangu?

startimes pu.mb..a.f..u kabisa, sijui km huwa wanaangalia vipindi,

bora waturudishe analojia tuendelee kutumia vichadema vyetu
 
Bei ya star times decoder dukani ni sh 70,000+9,000(monthly)+20,000(aerial) +20,000( 20m cable)total ni sh 119,000
Yangu inaona channel zote vizuri, pia ni ya mwaka jana ambayo haina matangazo(adverts) kwa tv(screen
).Nimepata dish, ndio maana ninauza. Haina matatizo yoyote
 
Startimes????? 119,000?????? Niambie ni pamoja na dish mimi nnavyoelewa kingamuzi (Dicorder)ya startimes inauzwa Tsh 39,000,nilinunua ya kwangu mwaka 2010 kwenye duka lao Mikocheni kwa sh 80,000
 
39,000 wanasema hazipatikani. Lakini ukiwa na 70,000 unapata
 
mie ninayo startimes decoder nauza elfu 40 tu,nimenunua december inakuna decoder na antena yake ,manuals,receipt,guarantee card,remote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom