Bond James Member Nov 25, 2010 54 7 Apr 19, 2012 #1 New Star times decoder for sale (Decoder, In door Antenna, and remote) price Tshs 40,000/= call me on 0757-291560
New Star times decoder for sale (Decoder, In door Antenna, and remote) price Tshs 40,000/= call me on 0757-291560
M Mbwambo JF-Expert Member Nov 25, 2008 625 93 Apr 19, 2012 #2 Nimekupigia simu dakika chache zimepita lakini sina salio lakutosha. nitaongeza salio kisha nitakupigia Ninahitaji Star Times Decoder ninatumia dish nyumbani kwangu linasumbua sana kupata chanels za kawaida tu Asante
Nimekupigia simu dakika chache zimepita lakini sina salio lakutosha. nitaongeza salio kisha nitakupigia Ninahitaji Star Times Decoder ninatumia dish nyumbani kwangu linasumbua sana kupata chanels za kawaida tu Asante
Ringo Edmund JF-Expert Member May 10, 2010 4,879 1,125 Apr 19, 2012 #4 Rudisha pale uliponunulia wanakurudishia hela yako yote.
Gudboy JF-Expert Member Aug 14, 2009 867 77 Apr 22, 2012 #5 Yangu naigawa bure mwenye kuhitaji ani PM, mana hawa jamaa hamna kitu kabisa zaidi ya kujitangaza tu. Kweli nimeamini kibaya chajitangaza sana
Yangu naigawa bure mwenye kuhitaji ani PM, mana hawa jamaa hamna kitu kabisa zaidi ya kujitangaza tu. Kweli nimeamini kibaya chajitangaza sana