kabla ya kununua stabilizer angalia kwanza hivyo vifaa unavyotaka kuconnect na stabilizer vinatumia jumla ya watt ngapi maana stabilizer zinauzwa kutokana na power (watts) yake, maana huwezi nunua stabilizer ya 500W wakati vifaa vyako vinatumia 1000W itashindwa kuendesha. Kwa aina na recommend TRONIC, kwan hawa jamaa huwa wanatengeneza vifaa bora vya umeme, halafu uwe makin unaponunua kuna nyingine zinaweza kuwa zimeandikwa zina output ya 1000W kumbe ukipima ni 500W