Sri Lanka names Easter suicide bombers

dudus

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Posts
25,421
Reaction score
58,041
... siku ile ugaidi ulipofanyika member mmoja humu JF ali-comment kwamba uchunguzi utakapokamilika tutajua wahusika ni akina nani (akimaanisha itikadi zao). Nilimjibu "kama unasubiri uchunguzi kujua Jua linachomoza upande gani wa dunia utakuwa 'mwendawazimu'" nikimaanisha kwa aina na style ya tukio lile wala haikuwa na haja kusubiri uchunguzi kujua itikadi ya kundi lililofanya unyama ule. Labda uchunguzi kujua majina yao lakini sio itikadi zao kidini. Taarifa rasmi ya uchunguzi kutoka serikalini hiyo hapo:
_______________________________

Sri Lanka's police Wednesday named nine people who staged Easter Sunday suicide bombings that killed 253 people, and said the attackers' assets will be confiscated in line with anti-terror laws.

Police spokesman Ruwan Gunasekera confirmed that two of the luxury hotels were bombed by two brothers from a wealthy Colombo family involved in spice exports.

The group of Islamists had used one bomber at each of the locations hit on Easter Sunday, except at Shangri-La hotel where there were two suicide explosions.

One of the Shangri-La bombers was Zahran Hashim, the leader of the local jihadist group responsible for the audacious attacks that were claimed by the Islamic State group.

Hashim headed the National Thowheeth Jama'ath (NTJ) which has since been banned. He attacked the Shangri-La in the company of fellow Islamist Ilham Ahmed Mohamed Ibrahim.

Ilham's elder brother Inshaf Ahmed was the man who bombed the nearby Cinnamon Grand hotel.

The third hotel to be targeted, the Kingsbury, was bombed by a man identified as Mohamed Azzam Mubarak Mohamed. His wife was now in police custody, Gunasekera said.

The St. Anthony's Church was targeted by a local resident named Ahmed Muaz. His brother has been arrested. The St. Sebastian bomber was Mohamed Hasthun, a resident from the island's east where Hashim was based.

The Christian Zion church in the eastern district of Batticaloa was hit by a local resident, Mohamed Nasser Mohamed Asad.

Another man who failed to set a bomb off at a de luxe hotel, but blasted his explosives at a guest house near the capital. He was identified as Abdul Latheef who had studied both in Britain and Australia.

Shortly after the hotel bomb attacks, Fathima Ilham, the wife of the younger of the two brothers, blasted explosives strapped to herself, killing her two children and three police officers who rushed to the family home in Colombo.

"We are going to use prevention of terrorist financing laws to confiscate their property," Gunasekera said.

Source: https://news.yahoo.com/sri-lanka-names-easter-suicide-bombers-141252044.html
 
Dah, Mohammed amekuwa Mohammed, ni Mohammed tuuu all over. Watu sasa ni muda wa kubadili haya majina na hata hizo imani potofu.

It's high time these terrorists understood that the 72 Virgins Tale is nothing but a mere myth. The true and tangible Virgins are the ones they're being misled to kill in the pervasive name of the imaginary allah.
 
... halafu ajabu hayo majitu hayatoki familia za kimaskini Mkuu! Mengi baba zao ni ma-tycoon wa kutupwa, wamesoma US, Austratlia, n.k. Ni familia za kidini hasa ila bahati mbaya ndio hivyo Shetani akishayakaa mioyoni yanawaza kumwaga damu tu!
 
Unajua mi nilidhani utani, ila kuna memba kaweka link ya alshabab hapa jukwaani nikaona eti kiongozi wa alshabab anasisitiza eti kuna ma bikra, hahaha, ujinga mwingine ni kazi kweli kweli. Unajua hii dunia kama kila mtu angafanya kazi kwa bidii ili kuifanya hii dunia pahala salama kwa kuishi ingekuwa bomba sana. Nadhani dini kwa sehemu fulani zimetumika vibaya sana
 
HAWA WASHENZI HAWANA TOFAUTI NA WALE WANAOKUNYWA JIKI KANISANI AU WANAOFIL@ WENZAO VATICAN. SIJUI KWANINI MIJITU HAIWEZI KUABUDU BILA KUDHURU WENZAO
 
Ni kweli kuna watu wanachafua sana hizi dini na kufanya sie watu dini tuonekane hatuna maana,we fikiria mtu anabutua bomu na kuuwa watoto halafu anafikiria kulipwa pepo kwa kitendo hicho yani ugaidi wamefanya kuwa ni sehemu ya dini,mara hapohapo wengine huwanywesha wenzie Jik et kuondoa mapepo na mwisho wa siku anauwa watu yani inafanya ionekane watu dini ni wajinga kabisa kwamba unaweza kuwaambia lolote wafanye na wakafanya bila hata kufikiri.

Ndio maana tunaonekana hatuna maana kwa wasioamini dini.
 
Ugaidi umegeuka kuwa Dhehebu mojawapo la Dini ya Kiislamu.
Utafiti wa kuaminika unaeleza Kuwa kati ya asilimia 15 hadi 25 ya Waumini wa Kiislamu wanaunga mkono vitendo vya Kigaidi.
Ukiwaweka pamoja wanaoviunga mkono vikundi vya Taliban, Islamic States, Al-Shabaab,
Al-Qaeda, Boko Haram, Al-Nusra, Janjaweed, NK.
Idadi hii inaweza lingana na idadi ya waumini wa dhehebu moja la dini ya Kiislamu.
 
Wewe unashangalia mabikira baada ya kushangaa wewe kuingia peponi kwa mgongo wa Yesu kufa msalabani. Kabla ya kutaka kusema ya wenzako anza kuangalia yako ipo kamili? Hata watu weupe wanajiona wao bora kuliko weusi wakati dini zinasema sote ni sawa. Abudu unacho kiabudu na achia wengine waabudu wanacho kiabudu.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Mm sio mwislam, ila dini ya kiislam sina shida nayo, wenye shida ni watu ambao wamekuwa na msimamo mkali sana. Nina marafiki zangu wengi tu ni waislam naona ni watu wa maana sana kuliko hata sisi wakristo.
 
Mkuu ugaidi ni neno lenye tafsiri yake na katika hiyo tafsiri yake haitaji dini wala imani yeyote,kwa hivyo yeyote yule bila kujari dini yake,imani yake au utaifa wake,anaweza kufanya vitendo vya kigaidi na kuitwa gaidi. Sasa waislamu wanashabikia vitu vingi tu sio ugaidi tu,sijui wewe umetumia vigezo gani hadi ugaidi ndio ukaamua kufanya ni dhehebu la kiislamu na isiwe mambo mengine ambayo waislamu huyafanya na wengine huyashabikia?
 
Hapo ndio huwezi kuuutenganisha Ugaidi na Uislam
Ndio hapo sasa dini zinaonekana hazina maana kwa sababu kila wakitajwa magaidi basi ni waislamu ndio hufanya kusema haiwezani kutenganisha ugaidi na uislamu,ni sawa na tunavyosikia sana hivi vitendo vya kulawitiwa watoto unaweza kusema hauwezi kutenganisha ulawiti na ukristo au kila mara tunasikia vitendo vya ajabu kufanyiwa waumini huko kanisani(kama kulishwa majani,kunyweshwa "jik" n.k) kiasi unaweza kusema huwezi kutenga ukristo na ujinga.

Haya mambo yote hufanya dini zionekane hazina faida zaidi ya majanga tu.
 
Umeeleza vizuri,
Ni hakika kuwa Waislamu wengi ni watu wema, tena wema sana kama kama were, na Waislamu engine wa hapa nchini Tanzania.
Hawa ni Asilimia 75.
Hawa asilimia 25 ndio hawa wanaounga vitendo vya kigadi vinavyoendeshwa na vikundi vya Kiislamu.
Dunia inaonesha kuna Waislamu karibia Billioni 2. Hivyo basi karibia Waislamu millioni 500 wanaviunga mkono hivi vikundi kwa ama kushiriki katika vitendo vyao viovu, au kuvifadhiri au kuvishabikia, na wapo karibia kila nchi.
Hii ni idadi kubwa sana ya watu na inaunda Dhehebu kamili la "Siasa Kali" ndani ya Dini ya Kiislamu.
 
Mkuu bado sijakupata ni vigezo gani unatumia kuita ugaidi ni dhehebu maana nimekwambia waislamu hufanya mambo mengi tu na hushabikia mambo mengi pia sasa iweje katika mambo yote wanayofanya na kushabikia waislamu ugaidi tu ndio iwe dhehebu?
 
Mkuu bado sijakupata ni vigezo gani unatumia kuita ugaidi ni dhehebu maana nimekwambia waislamu hufanya mambo mengi tu na hushabikia mambo mengi pia sasa iweje katika mambo yote wanayofanya na kushabikia waislamu ugaidi tu ndio iwe dhehebu?
Kigezo ninachotumia ni kuwa hivyo vikundi vya
" Siasa Kali"
Vinashabikiwa na baadhi ya Waislamu PEKEE.
Yaani hakuna Mkristo, au Mbudha, au Mhindu, au Myahudi anaye viunga mkono.
Na hivyo vikundi vinasema vitendo vyao hivyo vinafuata miongozo ya mafundisho ya dini ya Kiislamu.
Mambo mengine wanayoshabikia Waislamu kama mchezo wa mpira wa miguu, unashabikiwa pia na waumini wa dini nyingine.
Hivyo kupelekea kuwa, Ugaidi wa hivi vikundi kuwa kama dhehebu jipya ndani ya Uislamu kwamaana WOTE wanafuata mafundisho YOTE ya dini ya Kiislamu, kama Waislamu wa Madhebu mengine.
 
Mkuu ndio maana nilisema ugaidi una tafsiri yake na hiyo tafsiri haitaji dini wala imani yeyote,hao Al-qaida au Boko haram wameitwa vikundi vya kigaidi kutokana na vitendo vyao vya kigaidi na si kwa sababu wanafuata mafundisho kiislamu au ni waislamu. Hivyo ugaidi ni ugaidi tu bila kujari imani za wenye kutekeleza huo ugaidi,kwa maana hiyo hata mkristo akitokea kufanya ugaidi pia ataitwa gaidi tu,na hakuna mafundisho ya ugaidi kwenye uislamu na ndiyo maana waislamu wengine hupinga ugaidi(kama wanavyopinga wizi,ujambazi ufisadi na hata uchawi)sio kwa sababu wanatofautiana mitazamo bali hakuna mafundisho ya ugaidi kwenye uislamu .
Sasa ukisema ugaidi ni dhehebu la kiislamu kisa kuna waislamu hufanya huo ugaidi na wengine hushabikia sioni kama upo sahihi,maana ugaidi hauna dini hivyo Boko haram ni magaidi kwa sababu hufanya ugaidi na si kwa sababu ni waislamu.
 
Dini zimekuwa kikwazo cha mwanadamu lustaarabika kwa kiwango kizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…