unatumia dell d6 na ngapi??? btw unatakiwa u update os yako kwanza fanya windows updates
Unatakiwa ku-install hiyo Service Pack (SP1) kabla ya ku-install SQL Server 2012
Pitia hii article nadhani itakusaidia zaidi: Step by Step Installation of Microsoft SQL Server-2012
Mu-sir umesema kuna software unayotaka kutumia ambayo inahitaji sql server 2012 iwepo. Ndo maana nmeuliza swali hilo.
Umejaribu ku enable updates kwa OS yako
Unaweza ukatuonyesha screen yako exactly inatoa message gani unapojaribu kuinstall sp1 and sp2? Mu-sir
angalia kama .net 4.0 - 4.5 kama umeinstall before. inabid uitoe then install. yenyewe itakua na .net yake ambayo itainstall wakat ukiwa unaintall server