Spika Ndugai anatibiwa India


hivi vongozi wa india nao wakiugua wanafanyiwa uchunguzi wap?
 
Kwanza afe tu

Duu nlishafanya kosa kama hili Nape alipopata ajali ila baada ya kutumia ubongo kufikiri badala ya kuendeshwa na feelings nikagundua nimefanya kosa kubwa sana ,kumtakia mwenzanko kifo ni jambo hatari sana ,Nisamehewe bure na Mungu na wanadamu
 
Kwani tanzania hakuna madaktari na hospitali hadi aende kutibiwa india. Hii inaleta picha gani kwa wananchi wa kawaida

mkuu we na pesa yako tu,yanini utibiwe hapa na unapesa zako? hata wewe ukiwa na pesa zako hakuna sababu yakutibiwa hapa nchini......madaktari nikweli tunao wazuri tu except we don't have material
 
Mbona Muhimbili tunayo na kuna madaktari bingwa, vitanda tumepeleka, mashine za vipimo tumetengeneza!!!

Iweje aende kutibiwa INDIA na ikiwa tuliambiwa kuwa MARUFUKU WATUMISHI WA SERIKALI KWENDA NJE!!!

Au ile marufuku inahusu baadhi ya watu na wengine RUKSAAAAAAAA
 
Ila huyu "supika" huwa simuelewagi kabisa,ina maana anampima prezd atamfanya nini ??????
 
I hope akirudi atarusha picha nyingine akiwa angani sijui Ni air India,au emirates au air tanzania
 
Nanukuu "upinzani ukitaka niwe mstaarabu nitakuwa mstaarabu wakitaka niwe mbabe nitakuwa mbabe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…