HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 73,322 Reaction score 103,593 Oct 4, 2022 #1 Tumesikia Spika akiwaambia wafuasi wake kuwa wasikubali Raisi atusiwe, ikitokea ametusiwa, basi wasikae kimya wamfanye vyovyote? Je, Rais ndiye alimtuma? Je, Rais hajiamini au Spika anajipendekeza? Iran wamekataa huo ujinga, walikuwa makondooo kwa muda mrefu ila sasa wameamka akili, bado kidogo tu Iran kudondoka. Hivi Watanzania tumeshindwa nini kuondoa hizi dharau? Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Tumesikia Spika akiwaambia wafuasi wake kuwa wasikubali Raisi atusiwe, ikitokea ametusiwa, basi wasikae kimya wamfanye vyovyote? Je, Rais ndiye alimtuma? Je, Rais hajiamini au Spika anajipendekeza? Iran wamekataa huo ujinga, walikuwa makondooo kwa muda mrefu ila sasa wameamka akili, bado kidogo tu Iran kudondoka. Hivi Watanzania tumeshindwa nini kuondoa hizi dharau? Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Samia atosha tukutane2030 JF-Expert Member Joined Apr 7, 2020 Posts 17,763 Reaction score 49,847 Oct 4, 2022 #2 Msingi wa CCM ni 1. Ujinga 2. Upumbavu na 3. Umaskini
Ali Nassor Px JF-Expert Member Joined May 6, 2022 Posts 2,433 Reaction score 4,043 Oct 4, 2022 #3 mkuu unawez ukatupa video maana post bila video hainog wala nn