Speech ya Magufuli


tuletee shemeji yako ambae hana doa, nawewe uwe PM tuwapigie kura!! hujaona mazuri yake, HATERS hamkosekani kazi ni kuleta uvyama tu! badala ya kuangalia maendeleo ghhhrrrr.
 
Mimi Yote Uliyoyasema Na Kuyaainisha Hapo Kumhusu Magufuli Naona Ndiyo Qualifications Nzuri Za Good Leader Na Atatufaa Sana Watanzania. Chuki Na Wivu Tu Vimekutawala.

Hakyamungu usiquote uzi mzima unatuumiza macho watumia simu!
 

WW HUNA TOFAUTI NA KOBE, KONDOO MBWA, FISI, unaemkataa ndo raisi wetu, angalia jimbo lake limetulia tuli halina mafisadi idara zote ww una sema nn, magufuli ooyeeeee, hapa ukawa nimeisahau kabisa.
 

Ndio kashatoboa hivi nenda kaondoe ujinga kwanza ndo uje humo jf.
 
dah mi sijaona magufuli kama kaniibia kwakuwa kazi yake nimeiona! hapa dar to mwanza ni mwendo wa kapeti yani spacio yangu nateleza tu!

Sijui nani katuloga watz du! Kaz ipo
 
WW HUNA TOFAUTI NA KOBE, KONDOO MBWA, FISI, unaemkataa ndo raisi wetu, angalia jimbo lake limetulia tuli halina mafisadi idara zote ww una sema nn, magufuli ooyeeeee, hapa ukawa nimeisahau kabisa.

Ndg bab D,

Kwa nini unanitukana? Mimi namkubali sana Magufuli, na napenda tumsafishe kwa kujibu hoja!
Nimeandika yawezekana tuhuma zote hazina uthibitisho na hivyo tuzijibu kwa hoja badala ya kushabikia kwa kufuata mkumbo kama nyumbu wanaohama.
Sidhani kama Magufuli mwenyewe angependa watu wasio na hoja kama wewe wamtetee pale penye hoja za msingi.

Hata hivyo, ni muhimu pia ujue kwamba kunitukana hovyo hovyo siyo tu kuwa ni kosa bali pia kunaweza kukusababisha ukapata adhabu stahili kwa namna itakavyoonekana inafaa!
Huu ni mwanzo wa kuibadilisha CCM iondokane na majinga yasiyo kuwa na uwezo wa kupambana kwa hoja zenye mashiko, wanaaibisha chama na taifa kwa ujumla!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…