Speech ya Magufuli

" The bottom line" kwa hapa tulipo Watanzania swala siyo umahiri wa "speech" Bali Mtendaji atakaye tutoa katika tabia ya kufanya vitu kwa mazoea na kutokujali hatima ya nchi.
 
duuuuu zamani kidogo siku moja nikiwa nimekaa pale kebbys hotel alipita mwanadada mrembo ivi umri wa 30s akiamuru wahudumu mambo kadhaa,ilikuwa kwa nje pale kibar kilicho nje nikanongonezwa kwamba ndo mmiliki wa hotel na habari ya hap juu kidogo....jamani watu wana data si mchezo..tusubiri tu tuone...ila kusema ukweli dada ni mrembo vicy haoni ndani..
 
Kama atakuwa rais swala la speech siyo issue kwa sababu kutakuwa na mtu maalum wa kuandika hotuba. Hata JK Kuna mtu anaye mwandikia
 

Mh kiukweli mie sijaelewa exchange rate iliyotumika kubadilisha Dollar 1,200 - 1,500 kwa mwezi kuwa sawa na milion 27 kwa mwezi.
 
always waanika mabaya kwanza...anikeni na mabaya ya migiro, amina, slaa ilituchague wenyewe sio unaweka mabaya ya mtu unaemchukia
 

BAVICHA mnalo mwaka huu. Kibabu chenu Slaa kilipoiba mke wa mtu ni sawa.
Mbowe anapotumia ruzuku za chama kustarehe Dubai na Joyce Mukya safi.
Anawalazimisha Chadema kupanga ofisi kwenye nyumba yake... Okay.
Kuwauzia malori chakavu... Sawa.
Anawaletea gari la taka mwaka wa mwisho wa uchaguzi.... Super.
Haya kojoa ukalale. Magufuli ndiye rais
 
Jamani mbona tabu sasa yupi anayefaa kaana huyo nilidhan hana kashfa kbs kumbe naye ana yake tuwe makin watanzania tusiangalie mazowea tusipende kurudia makosa ni bora tufanye kosa jipya kuliko kurudia la zamani
 
Hapana magufuli ataendelea kungozwa na kikwete kama remote kwaiyo tusifikirie mabadiliko kwa kuweka ccm tena..watanzania tusihadaike jamani hii nchi si yao peke yao..'

Kwenye kuomba kura pale tu Kikwete kashaanza kum remote control.

Magufuli kamaliza kutoa speech, Kikwete kamuuliza "Mbona hadi Mselema hujaimba?". Magufuli karudi kwenye mimbari kuimba "Hadi Mselema".
 
Watanzania tuacheni ushabiki wa kijinga nchi ilipofikia ilituirudishe njia kuu Rais anayetufaa ni Magufuli kutokana na utendajiwake. Tanzania tulipo kwasasa bado hatujafikia hatua ya kutawaliwa na Rais mwanamke mpaka nchi ikae sawa kwenye upande wa uchumi, elimu na nk kwahiyo tusikurupuke juu ya hili
 
Magufuli ameweka kumbukumbu nzuri sana kwa watz.Haihitajiki speech nzuri kumpata kiongozi mana aliyoyafanya yanajieleza.Nchi imekua ya mazoea zoea bila kiongoz mwenye element za udikteta tutabaki palepale.
 
huyu mheshmiwa ajifunze kutoa speech nzuri maana kashindwa kujieleza na hivi speech za mwisho wa mwezi ataziweza??!!!!


kakosea nini pale?pale alitakiwa kuomba kura na kafanya hivyo kwa kuomba kura kuanzia meza kuu mpaka wajumbe.
 

Mkuu Ocampo four,

Hapa umetoa hoja za msingi sana zinazohitaji uchambuzi wa kina.
Hata hivyo, siyo rahisi kujibiwa kwa kuwa asilimia kubwa ya wachangiaji ni mashabiki wasioweza kutetea wanachoshabikia kwa kuwa hawakijui na hawajui faida wala hasara zake! Wengi ni kama nyumbu wa serengeti wanaofuatana wakati wa kuhama.
Yawezekana baadhi ya tuhuma au zote zinaweza kukosa uthibitisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…