SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,120
Reaction score
24,395


Iran imeanza mashambulizi makubwa ya makombora dhidi ya Israel, ambayo yamelenga miji mikuu ikiwemo Haifa na Tel Aviv. Viwanda vya mafuta na kemikali, kama Bazan Group, vimeharibiwa vibaya huku moto mkubwa ukiripotiwa.

Wimbi la pili la makombora limeanza kutua, na majengo kadhaa mjini Tel Aviv yamepigwa, watu 15 wakijeruhiwa. Taarifa za vifo pia zimeanza kuripotiwa kutoka maeneo mbalimbali ya Israel.

Pakistan imetangaza kuwa itaishambulia Israel kwa nyuklia endapo Iran itashambuliwa kwa silaha hizo, na iko tayari kuingia vitani upande wa Iran iwapo mataifa ya Magharibi yataingilia moja kwa moja.

Mkuu wa Shirika la Ujasusi la Israel (Shin Bet) ameripotiwa kujiuzulu kufuatia hali hiyo ya taharuki.

UPDATE:
Mpaka muda huu miji yote ya Israel imeshambuliwa na Iran na taarifa za vifo huko Israel zimeanza kutoka

UPDATE:
Israel imetoa onyo la kuwataka wakazi wa eneo la Manispaa lililoko kaskazini-mashariki mwa jiji la Tehran waondoke haraka kabla ya mashambulizi ya anga.

Kupitia ujumbe kwenye mitandao ya kijamii kwa lugha ya Kiajemi na Kiarabu, msemaji wa jeshi la Israel, Avichay Adraee, alisema jeshi litashambulia eneo la(District C)ikiwa na lengo la kulenga miundombinu ya kijeshi ya Iran.

“Uwepo wenu hapo unaweka maisha yenu hatarini. Kwa usalama wenu, ondokeni mara moja,” alisema Adraee.

Eneo hilo lina taasisi muhimu za serikali, ofisi za umma na mashirika ya mawasiliano na ujasusi.

Taarifa ya jeshi la Israel ilisema kuwa ndege zake za kivita zimeshambulia malori yaliyokuwa yamebeba silaha na makombora, yakielekea Tehran kutoka magharibi mwa Iran.

UPDATE:

Iran yashambulia hospitali Israel


Kombora lililorushwa kutoka Iran limelenga hospitali kuu ya Beersheba Kusini mwa Israel na kusababisha majeruhi kadhaa, huku makombora mengine yakipiga majengo mawili Tel Aviv na kujeruhi watu 40. Israel imejibu kwa kushambulia mtambo wa urutubishaji nyuklia wa Iran.

Waziri Mkuu Netanyahu ameapa kulipiza kisasi, akisema madikteta wa Iran wataadhibiwa kwa matendo yao.

Your browser is not able to display this video.


 


Pakistan vita anajua wapi? Pakistan vita vyao kama bata, na hawezi thubutu kuingia, maana atakutana na moto toka mbinguni kitu Satellite guided Laser weapon, huu ni moto toka mbinguni..!! Hii kitu acha kabisa, Rais wa Iran helicopter yake ilichomwa chap wanasema ni hii Space Laser weapon


View: https://youtu.be/hd12I638zdI?si=vsDPWFTtXWvNeBVf
 
Hiyo miimba masong mijinga kweli ..........imewashindwa wahindi watawawezq magharibi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…