wakuu heshima kwenu,
ni wazi kuwa excel ina mambo mengi ambayo si rahisi kujua yote,
kwa yeyote anayefahamu ni formula gani nnaweza kutumia ikatofautisha data zilizoko kwenye sheet 1 na sheet 2, kwa kutambua ambazo zipo kwenye sheet 2 na hazipo kwenye sheet 1,
pia tunaweza kutumia thread hii kwa kuulizana maswali kwa watumiaji wa excel kwa lengo la kueleweshana
aksante