Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,299 Reaction score 108,329 Nov 27, 2013 Thread starter #21 Dak 45 (HT) Kenya 0 - 0 Ethiopia
Makoye Matale JF-Expert Member Joined May 2, 2011 Posts 6,490 Reaction score 2,104 Nov 27, 2013 #22 HT: Kenya 0-0 Ethiopia.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,299 Reaction score 108,329 Nov 27, 2013 Thread starter #23 Kipindi cha pili kinaanza... Dak 46 Kenya 0 - 0 Ethiopia
Makoye Matale JF-Expert Member Joined May 2, 2011 Posts 6,490 Reaction score 2,104 Nov 27, 2013 #24 Kipindi cha Pili kimeanza: Dak. 46 Kenya 0-0 Ethiopia.
Askari wa miguu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2011 Posts 344 Reaction score 124 Nov 27, 2013 #25 duh hawa Kenya hawapendi kabisa mpira! Yaan kauwanja kadogo namna hii na bado hakajajaa halaf National team inacheza! Au kuna threat ya al shabaab nn
duh hawa Kenya hawapendi kabisa mpira! Yaan kauwanja kadogo namna hii na bado hakajajaa halaf National team inacheza! Au kuna threat ya al shabaab nn
Makoye Matale JF-Expert Member Joined May 2, 2011 Posts 6,490 Reaction score 2,104 Nov 27, 2013 #26 Askari wa miguu said: duh hawa Kenya hawapendi kabisa mpira! Yaan kauwanja kadogo namna hii na bado hakajajaa halaf National team inacheza! Au kuna threat ya al shabaab nn Click to expand... Wakenya wako after money, wako kazini wakitafuta riziki.
Askari wa miguu said: duh hawa Kenya hawapendi kabisa mpira! Yaan kauwanja kadogo namna hii na bado hakajajaa halaf National team inacheza! Au kuna threat ya al shabaab nn Click to expand... Wakenya wako after money, wako kazini wakitafuta riziki.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,299 Reaction score 108,329 Nov 27, 2013 Thread starter #27 Mchezaji wa Kenya anaunawa mpira ndani ya 18, lakini refa anapeta...naona kama kuna mbeleko kwa mwenyeji Kenya
Mchezaji wa Kenya anaunawa mpira ndani ya 18, lakini refa anapeta...naona kama kuna mbeleko kwa mwenyeji Kenya
M Masuke JF-Expert Member Joined Feb 28, 2008 Posts 4,610 Reaction score 1,269 Nov 27, 2013 #28 watu8 said: Mchezaji wa Kenya anaunawa mpira ndani ya 18, lakini refa anapeta...naona kama kuna mbeleko kwa mwenyeji Kenya Click to expand... Lazima mwenyeji abebwe ukizingatia serikali ndo imedhamini sijui hawana makampuni.
watu8 said: Mchezaji wa Kenya anaunawa mpira ndani ya 18, lakini refa anapeta...naona kama kuna mbeleko kwa mwenyeji Kenya Click to expand... Lazima mwenyeji abebwe ukizingatia serikali ndo imedhamini sijui hawana makampuni.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,299 Reaction score 108,329 Nov 27, 2013 Thread starter #29 na Nyayo Stadium ipo mjini kabisa kiasi kwamba ni rahisi kwa watu kufika hapo... Ingekuwa kule Kasarani labda tungesema ni nje ya jiji... Askari wa miguu said: duh hawa Kenya hawapendi kabisa mpira! Yaan kauwanja kadogo namna hii na bado hakajajaa halaf National team inacheza! Au kuna threat ya al shabaab nn Click to expand...
na Nyayo Stadium ipo mjini kabisa kiasi kwamba ni rahisi kwa watu kufika hapo... Ingekuwa kule Kasarani labda tungesema ni nje ya jiji... Askari wa miguu said: duh hawa Kenya hawapendi kabisa mpira! Yaan kauwanja kadogo namna hii na bado hakajajaa halaf National team inacheza! Au kuna threat ya al shabaab nn Click to expand...
M Masuke JF-Expert Member Joined Feb 28, 2008 Posts 4,610 Reaction score 1,269 Nov 27, 2013 #30 Makoye Matale said: Wakenya wako after money, wako kazini wakitafuta riziki. Click to expand... Aming'wana adatogilwe duhu igolu, duhaye giki amanyang'au atogilwe ugukoba emhilya gukila mazungu, bulu mazungu agamadikagaka pa umsiwanja ulusiku lo golu.
Makoye Matale said: Wakenya wako after money, wako kazini wakitafuta riziki. Click to expand... Aming'wana adatogilwe duhu igolu, duhaye giki amanyang'au atogilwe ugukoba emhilya gukila mazungu, bulu mazungu agamadikagaka pa umsiwanja ulusiku lo golu.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,299 Reaction score 108,329 Nov 27, 2013 Thread starter #31 Dak 78 Kenya 0 - 0 Ethiopia
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,299 Reaction score 108,329 Nov 27, 2013 Thread starter #32 Dak 90 (FT). Kenya 0 - 0 Ethiopia
yogan Senior Member Joined Feb 26, 2013 Posts 137 Reaction score 92 Nov 27, 2013 #33 Ahsante kwa habari za michezo
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,299 Reaction score 108,329 Nov 27, 2013 Thread starter #34 yogan said: Ahsante kwa habari za michezo Click to expand... Pamoja mkuu....
PrN-kazi JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 2,900 Reaction score 445 Nov 27, 2013 #35 mechi kati ya kenya vs ethiopia sikubahatika kuiona, vipi jamaa zetu wanyama na mariga walikuja kutoa support??
mechi kati ya kenya vs ethiopia sikubahatika kuiona, vipi jamaa zetu wanyama na mariga walikuja kutoa support??
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,299 Reaction score 108,329 Nov 27, 2013 Thread starter #36 PrN-kazi said: mechi kati ya kenya vs ethiopia sikubahatika kuiona, vipi jamaa zetu wanyama na mariga walikuja kutoa support?? Click to expand... Hawakuwepo mkuu...ila mechi ilikuwa nzuri, isipokuwa bado washambuliaji wa kila timu walikuwa butu.
PrN-kazi said: mechi kati ya kenya vs ethiopia sikubahatika kuiona, vipi jamaa zetu wanyama na mariga walikuja kutoa support?? Click to expand... Hawakuwepo mkuu...ila mechi ilikuwa nzuri, isipokuwa bado washambuliaji wa kila timu walikuwa butu.
Makoye Matale JF-Expert Member Joined May 2, 2011 Posts 6,490 Reaction score 2,104 Nov 28, 2013 #37 Nawatakia Kilimanjaro Stars ushindi wa 3-0 dhidi ya Chipolopolo.
Kitoabu JF-Expert Member Joined Jul 7, 2011 Posts 11,080 Reaction score 12,319 Nov 28, 2013 #38 TAIFA stars ushindi kitu cha lazima.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,299 Reaction score 108,329 Nov 28, 2013 Thread starter #39 Kitoabu said: TAIFA stars ushindi kitu cha lazima. Click to expand... Ni Kilimanjaro Stars mkuu...
Arushaone JF-Expert Member Joined Mar 31, 2012 Posts 15,235 Reaction score 13,539 Nov 28, 2013 #40 Makoye Matale said: Nawatakia Kilimanjaro Stars ushindi wa 3-0 dhidi ya Chipolopolo. Click to expand... Kwa Kilimanjaro Stars hii sidhani kama wanaweza kupata hata goli moja. Remember, I love my country plus it's national soccer team though.
Makoye Matale said: Nawatakia Kilimanjaro Stars ushindi wa 3-0 dhidi ya Chipolopolo. Click to expand... Kwa Kilimanjaro Stars hii sidhani kama wanaweza kupata hata goli moja. Remember, I love my country plus it's national soccer team though.