wiz king treasure
Member
- Apr 25, 2015
- 52
- 2
basi ushachaguliwa kak knachotakiw ni ku confirm 2Ndio nliomba nacte
Kwan kunauwezekano wa ku confirm kupitia profile yangu ya nacte maana kwenye orodha ya majina naona ni wale waliochaguliwa direct kutoka tamisemi
Walioply nacte majina yameshatoka....ingieni kwenye profile zenuu
Woote mnaingiaa kwa pamojaa .... Mpaka tarehe 15 mwezi huu lazima kinuke
Woote mnaingiaa kwa pamojaa .... Mpaka tarehe 15 mwezi huu lazima kinuke