Spea za Laptop/Kompyuta zipo hapa

Mkuu hujaniambia battery ya hp probook 6545b ni kiasi gani.
 
Nina lap top yangu aina ya LG....tatizo ni display. Je, bei ni kiasi gani?
 
Mimi naitaji HP 530 betri unayo? na kama unayo ni sh ngapi?? mi niko arusha ila kama ukinihakikishia naweza jua jinsi ya kupata
 
Mkuu hujaniambia battery ya hp probook 6545b ni kiasi gani.

mkuu samahani kwa kuchelewa kujibu ngoja niangalie kwenye stock kwa updates nchek kwa no.yangu
 
Mimi naitaji HP 530 betri unayo? na kama unayo ni sh ngapi?? mi niko arusha ila kama ukinihakikishia naweza jua jinsi ya kupata

mkuu hyo betri hipo na bei 80,000 ukitaka naku2mia kwa Dar Express gharama za usafirishaji juu yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…