Nilikuuliza Knock sensor ya Mazda Demio, ukaniuliza engine code nikakupa, hujanipa jibu mpaka leo.Habari wana JamiiForums.
Kijana wenu bado nipo na mitikasi ya kupokea nini unahitaji nikupe mawazo, ushauri na unachohitaji kulingana na mahitaj yako.
Spare za magari kama Nissan, Toyota , Honda, Subaru, Mazda, Mitsubishi, hyundai, Suzuki.
Biashara ya spare kwa sasa haipingiki imekuwa na ushindani mkubwa sana Kwa nini uchague kwangu kulingana na bidhaa, ubora, huduma na bei.
Si lazima ununue kwangu, kipi unanunua na kina ubora gani piga simu au njoo dukani upate hata ushauri kwa bure kabisa.
GARI LAKO THAMANI KWETU [emoji594]
Spare zipo Ni wewe tu kupiga Simu uletewe ulipo au kuja dukani.
[emoji625]Ilala lindi/Shaurimoyo near Machinga Complex
[emoji338]0653527433/0789961893
[emoji597]Delivery inafanyika ndani ya Dar es Salaam na mikoani unatumiwa kwa uwaminifu.
Hiyo si inakuwa mpya? Yaani mpaka nahisi mteja mwenyewe alishafanya maamuzi, nitampigia baadae.Boss kwanza samahan ile inakuwa 70,000 niliokuwa nayo ina boya juu chini kichuma
1NZA....cc 1490Ina engine gan ???
Kwan kuna tofaut gani ya kiutendaji baina ya umeme na isiyo ya umemeYa umeme 200,000/= kama sio ya umeme 350,000/=
Yote kazi ni moja ispokuwa inategemea na engine yako imekujaje ila iyo ambayo haitumii umeme ipo vzur sana inapoza sana ata wanaouza Engine Wanazitoa ambazo sio za umeme waweke za umeme ili kidog wapate faida kwaio ni ww tuh boss wangu Wewe na uwezo wa mfuko tuhKwan kuna tofaut gani ya kiutendaji baina ya umeme na isiyo ya umeme
Me npo Tanga hyo isiyo tumia umeme ( bei ndogo [emoji2] ) napaswa kufuata utaratibu upi ili inifikie?Yote kazi ni moja ispokuwa inategemea na engine yako imekujaje ila iyo ambayo haitumii umeme ipo vzur sana inapoza sana ata wanaouza Engine Wanazitoa ambazo sio za umeme waweke za umeme ili kidog wapate faida kwaio ni ww tuh boss wangu Wewe na uwezo wa mfuko tuh