Sio wao tu mkuu. Kwa mataifa mengi kwa jinsi kikosi cha spain kilivyo ni ngumu sana kupambana nao na ukawashinde. Ni bora sana kwa sasa hawa jamaa. Ukicheza nao lazima tu wadominate mchezo kukuzidi.
Tuliwapima kwa ufaransa kutaka kuona watachezaje ila walimchafua vibaya. Hata hivyo Argentina wamepambana sana