Masharti ya gari hiyobiwe
1.Namba C au D
2.Isizidi Cc 1350
3.imetembea km chache chini ya laki mbili
4.Haijawahi kugongwa wala kupakwa rangi
5.Transfer fee na law procejures tunachangia
6.Natoa offer ya million 5 ipo hata leo....
7.Kama sharti moja au mawili yapo tofauti nijulishe.. Mapatano yote inbox Tafadhali.0767428311
milioni tano huwezi kupata gari ya design hyo unless ilo gari lipo juu ya mawe, hyo milioni tano unayoiona inaweza kununua magari icheze BIKO yote utashinda milion ishirini na utaweza kununua mark X kutoka japan