Azimio JipyaFrom Cape Canaveral to the ... "Space Station" ... Maandalizi safari ya mwisho angani, ...Welcome aboard!!.. tutapiga picha nyingi za karibu kabisaaa na matukio !!
sijakutia machoni hahahahahah adumu afrodenzi
hahahahahahahah lol ndo nimeanza hivyo .. mm🙂
The Finest hivi kuna mtu mchokozi kuliko wewe kweli?? mmmhhh
Blaki Womani.. Hujambo mamaake.. naona na The Finest mmeanza mdogo mdogo tu 🙂
Hahahaha...sasa afrodenzi na Blaki Womani nawasubiria Blaki Womani usisahau kuja na samaki..lolmamito mie mzima namvuta The Finest tuelekea hapo ulipo
The Finest Mvivu hivyo ( usimwambie lakini ) hahahahah lolmamito mie mzima namvuta The Finest tuelekea hapo ulipo
:car::car::car:The Finest Mvivu hivyo ( usimwambie lakini ) hahahahah lol
we bora uje mwenyewe tu my dear atakuchelewesha huyo .. Blaki Womani
The Finest Mvivu hivyo ( usimwambie lakini ) hahahahah lol
we bora uje mwenyewe tu my dear atakuchelewesha huyo .. Blaki Womani
acha kuwa so negative....